1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchafuzi wahewa wakati wa janga la corona

Shisia Wasilwa27 Julai 2020

Uchafuzi wa hali ya hewa unatajwa kupungua jijini Nairobi, Kenya tangu kuzuka janga la virusi vya corona. Masharti makali yaliyowekwa na serikali ya kuwataka watu kubakia majumbani, yamepunguza shughuli mjini, pamoja na idadi ya magari barabarani.

https://p.dw.com/p/3fxSD