Tume ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, CENI, imetangaza kusogeza mbele uchaguzi mkuu uliokuwa ufanyike Novemba 2016. Uchaguzi sasa utafanyika 2018. Wananchi, wapinzani na wachambuzi wanasemaje? Mada yetu kwenye kipindi cha Maoni na Josephat Charo.