Kila dakika, watoto wawili walio na umri chini ya miaka miwili, wanakufa kwa ugonjwa wa "Pneumonia". Je, unazifahamu dalili za homa hiyo ya mapafu, jinsi ugonjwa unavyosambazwa na namna ya kujikinga? Ungana na Thelma Mwadzaya katika makala ya Afya Yako ili upate majibu kamili.