Muda mchache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENI) kutangaza matokeo ya uchaguzi wa urais yaliyompa ushindi mgombea mmojawapo wa upinzani, Felix Tschisekedi, Ufaransa na Ubelgiji zimejiunga na upinzani unaoongozwa na Martin Fayulu, LAMUKA, kuyapinga matokeo hayo, zikitilia shaka matokeo hayo. Kurunzi 10.01.2019