1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda yamtuza Bella Nshimirimana mkimbizi bora 2017

Lubega Emmanuel22 Juni 2017

Bella Nshimirimana kutoka Burundi amepata tuzo ya kuwa mkimbizi bora mwanamke nchini Uganda kwa mwaka 2017, kutokana na mchango wake katika jumuiya nzima ya wakimbizi. Mwandishi wetu wa Kampala Lubega Emmanuel amekutana na mwanamke huyo.

https://p.dw.com/p/2f0ep