Ujerumani kutoa msaada kwa sekta ya afya TanzaniaElizabeth Shoo31.03.201631 Machi 2016Waziri wa ushirikiano kimaendeleo Ujerumani ameahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kuzalisha wataalamu wa afya hasa katika kitengo cha ukunga na uuguzi ili kukabiliana na upungufu wa wataalamu hao.https://p.dw.com/p/1INT9Picha: picture-alliance/dpa/E. ElsnerMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio