Ujerumani: wakimbizi wajiunga na Chuo Kikuu cha mtandaoni
Yusra Abdallah Buwayhid15 Juni 2016
Wakimbizi nchini Ujerumani wamepata fursa ya kujiunga na chuo kikuu cha mtandaoni , kujiendeleza kimasomo. Utasikia pia orodha ya wachezaji mpira watano bora, katika mtandao wa Instagram. Pamoja na yale yaliyovuma mitandaoni.
https://p.dw.com/p/1J6tA
Matangazo
Ungana na Yusra Buwayhid, katika kipindi cha Sema Uvume.