JamiiUjerumani yatuma wanajeshi Ureno kusaidia kukabili COVID-19To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSaleh Mwanamilongo04.02.20214 Februari 2021Wizara ya ulinzi ya Ujerumani imetuma maafisa wa afya na vifaa vya matibabu nchini Ureno, ambako vyumba vya wagonjwa mahututi vimelemewa baada ya kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona. https://p.dw.com/p/3otGoMatangazo