JamiiUjuzi wa kutengeneza sabuni kutumia mboga na matundaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii16.10.202016 Oktoba 2020Je wajua unaweza kujitengenezea sabuni yako mwenyewe iliyo na kinga bora dhidi ya vijidudu kwa kutumia viungo vya asili mfano mboga na matunda? Kama huna habari basi Thelma Mwadzaya anakujuza namna ya kufanya hayo?https://p.dw.com/p/3k0odMatangazo