You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mahmoud Abbas: Acheni kuipatia Israel silaha
Vita hivyo vinavyoshuhudiwa ulimwenguni vimeendelea kupewa kipaumbelewe katika hotuba za Alhamisi.
Biden awaalika viongozi wa dunia kwa mkutano kuhusu Ukraine
Biden ataanza ziara ya siku tatu nchini Ujerumani kuanzia Oktoba 10.
Mtu mmoja auwawa katika shambulizi la Urusi nchini Ukraine
Jeshi limesema mifumo ya ulinzi wa makombora umeziharibu droni 66 na makombora manne.
Urusi yafanya mashambulizi Ukraine usiku kucha
Vikosi vya Ukraine vimedungua droni 66 na makombora 4 yaliyovurumishwa na Urusi katika mashambulizi ya usiku kucha.
Biden: Mpango wa kuisaidia zaidi Ukraine kutangazwa Alhamisi
Washington inatarajia kutangaza msaada wa kijeshi wenye thamani ya zaidi ya dola bilioni 8 kwa Ukraine.
Tshisekedi: Rwanda iwekewe vikwazo kwa kuwaunga mkono M23
Katika hotuba yake, Tshisekedi imeituhumu Rwanda kuhusika katika ghasia za Mashariki mwa Kongo.
Ukraine: Urusi inapanga kushambulia mitambo ya nyuklia
Rais wa Ukraine Volodymryr Zelenskiy amesema Urusi inapanga kushambulia mitambo ya nyuklia nchini mwake.
Ukraine yasema imedungua droni 28 na makombora 4 ya Urusi
Wakati huo huo, mashambulizi katika eneo la Kharkiv mapema leo yaliharibu jengo kubwa linalotumika kuegesha ndege.
Zelensky asema hakuna mazugumzo ya amani ya Urusi
Zelensky amesema hakuna uwezekano wa mazungumzo ya amani na Urusi na kuutaka ulimwengu kumlazimisha Putin akubali amani.
Urusi yaendeleza mashambulizi katika mji wa Kharkiv
Mashambulizi ya makombora yamewauwa watu watatu na kuwajeruhi zaidi ya 22 huku wengine wakihofiwa kukwama.
Ukraine yabaini vipuri vya China kwenye silaha za Urusi
Ukraine imesema asilimia 60 ya vipuri vya silaha za Urusi katika uwanja wa mapambano nchini Ukraine vinatoka China.
Shambulizi la Urusi nchini Ukraine lakatiza huduma za umeme
Jeshi la anga la Ukraine limesema limedungua droni 66 lakini likapoteza mwelekeo wa droni nyingine 13 kati ya 81.
Hali kinu cha nyuklia cha Kursk bado mbaya - Grossi
Rafael Grossi, amesema hali bado ni mbaya kwenye kinu cha nyuklia cha Kursk nchini Urusi.
Zelensky: Umakini wa Marekani utaharakisha mwisho wa vita
Zelensky amesema uamuzi makini wa uongozi wa Marekani utaharakisha kukomesha uvamizi wa Urusi kufikia mwakani.
Viongozi wa dunia kuhutubia Baraza Kuu la UN kuanzia Jumanne
Viongozi wa dunia wako jijini New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Urusi: Raia 56 wafa na 256 walijeruhiwa hadi Septemba 5
Serikali ya Moscow imesema raia wapatao 131,000 wameondoka eneo hilo la Kursk linaloshuhudia mapigano makali.
Urusi yaushambulia tena mji wa Kharkiv
Urusi imefanya mashambulizi mapya mjini Kharkiv, ambapo majengo kadhaa yamebomolewa na watu wapatao 20 kujeruhiwa.
Urusi yaushambulia mji wa Kharkiv na kujeruhi watu 21
Urusi imekuwa ikiulenga mara kwa mara mji wa Kharkiv, ambao ni wa pili kwa ukubwa Ukraine karibu na mpaka wa Urusi.
Zelensky atia saini sheria ya ongezeko la pesa kwa jeshi
Ukraine imepokea zaidi ya dola bilioni 98 za msaada kutoka nje ya nchi tangu vita vilipoanza mnamo Februari 2022.
Shambulizi la Urusi laua watatu nchini Ukraine
Mikoa kadhaa nchini Ukraineiliripoti pia mashambulizi ya anga ya Urusi usiku kucha.
Scholz asema hatoipa Ukraine makombora ya Taurus
Kauli ya Scholz ameitoa licha ya Kyiv kuwahimiza washirika wake wa Magharibi kuipa silaha ili kukabiliana na Urusi.
Ukraine yapiga marufuku mtandao wa mawasiliano wa Telegram
Mtandao wa Telegram unatumika sana nchini Ukraine na Urusi na umekuwa chanzo muhimu cha kupata habari.
Umoja wa Ulaya waipatia Ukraine mkopo wa mabilioni
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen ametangaza mpango wa kuipatia Ukraine mkopo wa mabilioni.
Mawaziri wa nishati wa G7 kujadili miundombinu ya Ukraine
Mawaziri wa nishati wa nchi za G7 watakutana Jumatatu kujadili miundombinu ya nishati ya umeme ya Ukraine.
Von der Leyen aizuru Ukraine kujadili usalama wa nishati
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen ameitembelea Ukraine kujadili usalama wa nishati.
Urusi yaionya Magharibi kuhusu silaha za Ukraine
Urusi imezitaka nchi za Magharibi kuacha kuipatia Ukraine silaha na kufadhili kile ilichokiita "shughuli za kigaidi".
Zelenskiy: Tumepunguza uwezo wa wanajeshi wa Urusi Donetsk
Hatua ya kuwakamata wanajeshi wa Urusi kumeipa Ukraine sauti linapokuja suala la kubadilishana wafungwa wa vita.
Von der Leyen kufanya ziara mjini Kiev siku ya Ijumaa
Von der Leyen kufanya ziara mjini Kiev siku ya Ijumaa
Urusi yavikomboa vijiji viwili magharibi mwa Kursk
Huenda operesheni ya Urusi dhidi ya gridi ya nishati ya Ukraine inakiuka sheria ya kimataifa ya haki za binadamu.
Zelensky adai kuwa serikali yake imejiandaa kuishinda Urusi
Zelensky adai kuwa serikali yake imejiandaa kikamilifu kuishinda Urusi
Viongozi 130 wa dunia kujadili Gaza, Ukraine na Sudan
Viongozi 130 wa dunia kujadili migogoro ya Gaza, Ukraine na Sudan
Mifumo ya ulinzi ya Urusi yadungua droni 54 za Ukraine
Jeshi la anga la Urusi limetangaza kuharibu droni 54 zinazodaiwa kurushwa na Ukraine usiku kucha .
Ujerumani yaahidi msaada zaidi kwa Ukraine
Ujerumani imeahidi msaada zaidi wa euro milioni 100 kwa ajili ya Ukraine wakati wa msimu wa baridi.
Rais Putin ameongeza ukubwa wa jeshi lake
Mwezi Disemba, Putin aliongeza ukubwa wa jeshi lake na kufikia milioni 2.2, huku wanajeshi wakiwa milioni 1.33.
Viongozi ulimwenguni walaani shambulio dhidi ya Trump
Wakati salamu za pole zikitolewa, Rais Joe Biden amesema idara ya usalama nchini humo inahitaji msaada zaidi.
Urusi yatoa wito kwa UN na ICRC kukataa mwaliko wa Ukraine
Urusi inawahamisha wakazi kutoka vijiji vingi katika eneo la Kursk ambao wako karibu na mpaka wa Ukraine.
Rais Zelensky asema jeshi lake limepungukiwa silaha
Ukraine inapambana vikali na Urusi na sasa inawaomba washirika wake wa magharibi kuiongezea silaha.
Ujerumani hatopeleka makombora ya masafa marefu Ukraine
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema nchi yake haitapeleka makombora ya masafa marefu ya Taurus nchini Ukraine.
Urusi na Ukraine zashambuliana kwa droni usiku kucha
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana kwa ndege zisizo na rubani, usiku wa kuamkia Jumapili.
Ukraine na Urusi zabadilishana wafungwa wa kivita
Rais wa Ukraine Volodymr Zelenskyy amesema mabadilishano mengine yatafanyika ndani ya siku mbili zijazo.
Biden na Starmer wakutana Washington kuijadili Ukraine
Urusi imeonya kuwa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu kutaitumbukiza NATO katika vita na Urusi.
Stoltenberg asema NATO ingeweza kuisaidia zaidi Ukraine
Ikiwa Ukraine itashinda vita hivyo basi hatua hiyo itakuwa mafanikio katika meza ya mazungumzo na Urusi.
Biden, Starmer waahirisha uamuzi wa makombora ya Ukraine
Starmer amesema alikuwa na mjadala mpana kuhusu mkakati na Biden lakini hakukuwa na mkutano kuhusu makombora.
Zelensky: Nitamkabidhi Biden "mpango wa ushindi" mwezi huu
Zelensky asema atamkabidhi Biden "mpango wa ushindi" mwezi huu
Biden, Starmer kujadili silaha za masafa marefu kwa Ukraine
Waziri Mkuu Starmer anakwenda Washington kukutana na Rais Joe Biden ambapo watajadili ombi la Ukraine kuhusu silaha.
Urusi yaishambulia Ukraine kwa droni usiku kucha
Wizara ya mambo ya nje ya Romania shambulio la Urusi dhidi ya meli ya nafaka ya Ukraine limechochea zaidi vita.
Urusi yaonya NATO kujiingiza kwenye vita vyake na Ukraine
Marekani imeiruhusu Kyiv kutumia silaha zake kushambulia ndani ya Urusi
Je, NATO inapaswa kudungua droni za Urusi?
Lakini NATO inalipinga pendekezo hilo, ikisema kuwa linaiweka kwenye hatari ya muungano huo kuwa sehemu ya mzozo huo.
Biden, Starmer kujadili silaha za masafa marefu kwa Ukraine
Starmer amesema mazungumzo hayo yatakuwa katika ngazi ya kimkakati kuhusu mzozo wa Ukraine na wa Mashariki ya Kati.
Blinken: Tutaendelea kuikabili Urusi inapoishambulia Ukraine
Poland imesisitiza ulazima wa kuzingatia mipaka ya kuiadhibu Iran inayodaiwa kupeleka makombora ya masafa mafupi Urusi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 70
Ukurasa unaofuatia