Ulemavu si kikwazo na haya yanathibitishwa katika Makala Yetu Leo iliyoandaliwa na Thelma Mwadzaya ambapo anaangazia kikundi cha Shauri Moyo Self Help Group huko nchini Kenya ambacho kimewaleta pamoja walemavu mbalimbali ili waweze kujisaidia kujikimu kimaisha.