JamiiUmauzi wa mahakama kumtia Derek Chauvin hatiani wapongezwaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii21.04.202121 Aprili 2021Maelfu ya watu Marekani wamepongeza uamuzi wa majaji 12 ambao umemtia hatiani polisi wa zamani wa Minneapolis kuhusiana na kifo cha Mmarekani Mweusi George Floyd. Hata hivyo wanasema safari ya kutafuta haki kamili bado ni ndefu.https://p.dw.com/p/3sL2XMatangazo