Dunia bado inakabiliana na janga la virusi vya corona huku Visa vya maambukizi ya virusi hivyo vikipindukia milioni 100 duniani. Ujerumani inatimiza mwaka mmoja tangu kisa cha kwanza cha maambukizi ya COVID-19 kuripotiwa. Nchi hiyo imebadilika vipi mwaka mmoja baadae? #kurunzi27.01.2021