Watu 15 wameripotiwa kuuawa na wengine wapatao 205 hawajulikani walipo kufuatia shambulizi la kikabila wilayani Mwenga. Ujumbe wa kulinda amani wa UN (Monusco) na serikali ya mkoa wa Kivu Kusini wametembelea wilaya hiyo.
https://p.dw.com/p/3gA8w
Matangazo
J2.30.07.2020 DRC: Kipupu residents seek redress after tribal attack that killed - MP3-Stereo