Je, unajua kujitenga katika kujiepusha na maambukizi ya virusi vya corona kunaweza kuathiri afya ya akili? Amina Abubakar anakuelezea namna ya kujiepusha na balaa hilo katika kipindi cha afya cha DW. Zaidi msikilize na unaruhusiwa kutoa maoni na kuuliza maswali.