1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Union Berlin waibana Bayern kileleni mwa Bundesliga

Josephat Charo
13 Februari 2023

Bayern Munich wasalia kileleni mwa Bundesliga wakisakamwa na Union Berlin. Eintracht Frankfurt yaangukia pua ugenini Cologne. Michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya kurejea wiki hii, Bayern Munich kukwaana na Paris Saint Germain. Wekundu wa Msimbazi Simba waanza vibaya michuano ya ligi ya mabingwa Afrika.

https://p.dw.com/p/4NQIj
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild I Kinderarbeit in Honduras
Picha: Rafael Ochoa/Photoshot/picture alliance Picha: Rafael Ochoa/Photoshot/picture alliance

Michezo