Matangazo
Ushirikiano huo umekuwa ukiongoza serikali ya Kongo kwa miaka miwili iliyopita, Kabila akilidhibiti bunge, huku Tshisekedi akiwa na mamlaka ya rais. Kutoka mjini Kinshasa Sudi Mnette amezungumza na mwenyekiti wa cha siasa UDPS Peoples, ambacho ni sehemu ya chama kilichogawanyika kutoka kwa UDPS ya sasa ya Tshisekedi, Valentin Mubake kutaka kujua kwanza hicho kilichosemwa na rais kinaweza kutokea.