Msikilize mjumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini humo CENI, Elodie Ntamuzinda akizungumzia malalamiko ya upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhusu mashine za kielktroniki za kupigia kura kwa mara ya kwanza katika uchaguzi wake mkuu ujao wa Desemba 23.