1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani Kenya wataka IEBC ivunjwe

Elizabeth Shoo27 Aprili 2016

Watu wanne waliokuwa wagombea wa Urais katika uchaguzi mkuu uliopita wamejiunga na muungano wa upinzani CORD kuitaka Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi IEBC ivunjwe, wakiishutumu kuegemea upande mmoja.

https://p.dw.com/p/1IdLx
Picha: picture alliance/dpa/D. Irungu

[No title]