JamiiUsafiri wa Chukudu DRC12.11.201512 Novemba 2015Chukudu, skuta iliyo na uwezo wa kusafirisha mizigo ndio nguzo ya uchumi wa ndani Congo. Kutana na kijana Sebastian Pascal, fundi chukudu anayejikimu kimaisha kupitia kazi yake hiyo.https://p.dw.com/p/1H4okPicha: Getty Images/AFP/J. D. KannahMatangazoUsafiri wa Chukudu DRCTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video