Usafiri wa feri wakwama kivuko cha Likoni mjini Mombasa, Kenya kutokana na mvua kubwa. Wajumbe wa mataifa mbalimbali wakutana mjini Bonn, Ujerumani kujadili namna ya kutekeleza mpango wa Paris 2015 wa kupunguza uzalishaji wa hewa chafu. Na, Korea Kusini yapiga kura kuchagua rais mpya.