Kulikoni wakati huu kunaibuka tena wasiwasi wa uwakilishi wa wanawake kwenye vyombo vya maamuzi? Hata baraza la mawaziri la rais mpya wa Liberia George Weah halina mwanamke hata mmoja. Mwanaharakati Edda Sanga aliyeko nchini Tanzania anatoa maoni yake.