1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uzazi wa kupandikiza

Celina Mwakabwale27 Septemba 2016

Katika makala ya Afya Yako Celina Mwakabwale anaangazia jinsi ya kupata mtoto kwa njia ya kupandikiza. Hii ni njia mbadala inayoweza kutumika kuwasadia wale ambao hawawezi kutunga ama kutungisha mimba kwa njia ya kawaida kupata mtoto.

https://p.dw.com/p/2QcpG