Vigogo wa soka africa wameyaaga mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON. Ghana na Algeria ni miongoni mwa timu kubwa zilizotupwa nje. Timu ndogo zinazotamba Cameroon kwenye michuano hiyo ni Visiwa vya Comoro,Gambia na Cape Verde miongoni mwa nyingine. Je zitaendelea kuonesha maajabu katika michuano hiyo? Msikilize Sekione Kitojo