Congo imekuwa ni nchi iliyokosa utulivu. Migogoro ya kila mara huwafanya wakazi wa taifa hilo kushindwa kujumuika katika shughuli za ujenzi wa taifa lao. Miongoni mwa kundi hilo ni vijana ambao wanazumgumzia hali ilivyo katika eneo la mashariki mwa Congo na mtayarishaji ni John Kanyunyu.