1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Goma wazungumzia maisha ndani ya DRC

2 Januari 2018

Daniel Gakuba akiwa Mjini Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amezungumza na vijana kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea nchini mwao. Sikiliza kilio cha vijana kutoka katika taifa hilo linalikabiliwa na machafuko ya kisiasa.

https://p.dw.com/p/2qD6r