JamiiVijana waungana kutunza Mazingira, Afrika KusiniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAmina Abubakar26.02.202026 Februari 2020Bongani Phiri na Thabang Motheane wameacha kazi zao na kuanzisha mpango wa Valor Green ili kukabiliana na urundikaji wa taka katika kijiji cha Mmakau nchini Afrika Kusini. Zaidi tazama vidio hii. #kurunzi 26.02.2020 https://p.dw.com/p/3YTtkMatangazo