Vikosi vyaimarishwa Goma
14 Desemba 2012Matangazo
Duru kutoka katika eneo hilo zinaeleza kwamba hali hiyo imethibitika katika ngome mbalimbali, vikiwemo viunga vya mji wa Goma, mji mkuu wa mkoa wa Kivu ya kaskazini mashariki mwa Kongo. Zaidi sikiliza ripoti ya mwandishi wa DW aliyeko Kampala, John Kanyunyu, kwa kubonyeza alama ya kusikilizia masikioni hapo chini.
Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo
Mhariri: Yusuf Saumu