1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa dini wakutana na IEBC

Alfred Kiti26 Mei 2016

Mkutano kati ya viongozi wa dini na makamishna wa Tume ya Uchaguzi IEBC una nia ya kutatua mvutano kati ya tume na muungano wa upinzani CORD. Upinzani umeahirisha maandamano ya kila Jumatatu.

https://p.dw.com/p/1Iuef
Viongozi wa dini Kenya
Picha: DW/A. Kiti

[No title]