1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa kidini Kenya wagoma kufungua maeneo ya ibada

Faiz Musa14 Julai 2020

Baadhi ya viongozi wa dini ya Kiisilamu na Kikristo nchini Kenya wamesema hawatafungua sehemu za kuabudu kwa sababu baadhi ya masharti yaliyowekwa kwenye nyumba za ibada hayana uhalisia na ni vugumu kutekelezwa namna yalivyo.

https://p.dw.com/p/3fJ87