Viongozi wajaribu kutuliza hali DRCElizabeth Shoo10.02.201610 Februari 2016Gavana wa mkoa wa Kivu ya Kaskazini, Julien Paluku, ametembelea eneo la kusini mwa wilaya ya Lubero kumaliza mzozo baina ya makabila ya Nande na Hutu uliosababisha vifo vya watu kadhaa.https://p.dw.com/p/1HsX6Picha: Getty Images/AFP/K. MaliroMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio