Yaliyomo wiki hii katika Afrika wiki hii:Viongozi wakuu wa nchi na serikali wa AU wakutana Malabo kujadili na kuyatafutia ufumbuzi matatizo ya barani Afrika.Nchini Kongo mapigano makali yazuka huko Mashariki kati ya waasi wa M23 na jeshi na kuzusha miito ya wakongomani kuitaka serikali yake kumfukza balozi wa Rwanda kwa tuhuma nchi hiyo inahusika.Jiunge na Saumu Mwasimba