1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vita vya Israel na Hamas vyatimia mwezi mmoja

7 Novemba 2023

Huku juhudi za kimataifa za kupata suluhu ama miito ya kusimamisha mapigano huko Gaza zikiendelea kugonga mwamba, wachambuzi na wafuatiliaji wanazungumzia vipi hali hii? Lilian Mtono amezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa aliyeko London, Uingereza Ahmed Rajab ambaye alimuuliza mengi kuhusiana na mzozo huu, na kwanza alianza kwa kutoa tathmini yake juu ya kile kinachoshuhudiwa sasa.

https://p.dw.com/p/4YWfv