1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viwanda vya magari Ujerumani kutumia malighafi za taka

Hawa Bihoga
16 Novemba 2023

Utamaduni wa kurejelea taka Ujerumani umehifadhiwa kwa miongo sasa, takriban kilogram 300 za taka kwa kila mtu zinarejelewa hatua ambayo inapigiwa mfano katika urejeleaji wa taka. Sasa viwanda vya kutengeneza magari navyo vinataka kurejelea magari ya kale. Tazama video

https://p.dw.com/p/4YrbS