Kura za mchujo zimeanza huku mtafaruku ukiukumba uteuzi wa chama pinzani ODM kilichoanza shughuli hiyo mwishoni mwa juma. Waziri wa Usalama, Joseph Nkaisserry, ametoa onyo kwa vyama dhidi ya kuzua vurugu.
https://p.dw.com/p/2bQQC
Matangazo
J3 18.04 Kenia: Politische Lage der NASA - MP3-Stereo