Vyombo vya habari na uchaguzi Kenya
20 Februari 2013Matangazo
Vyombo vya habari vya Kenya bila shaka vitakabiliwa na changamoto kubwa katika kuripoti matukio wakati wa uchaguzi huo. Hamidou Oummilkheir amezungumza na Mkurugenzi mkuu wa baraza la usimamizi wa vyombo vya habari - Bwana Harun Mwangi kutaka kujua wanafanya juhudi za aina gani kuhakikisha habari sahihi zinawafikia Wakenya kokote kule waliko nchini humo. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.
Mwandishi: Hamidou
Mhariri: Josephat Charo