Waasi wa Kihutu kutoka Rwanda, FDLR, wanaoendesha harakati zao mashariki mwa Kongo, wameirai Jumuiya ya Kimataifa kuingilia kati tofauti zilizopo kati yao na serikali ya Rwanda inayowatuhumu kuhusika na mauwaji yakimbari ya mwaka wa 1994. Sikiliza Ripoti ya Benjamin Kasembe kutoka Goma.