SiasaWacongo waomboleza kifo cha Tshisekedi02.02.20172 Februari 2017Etienne Tshisekedi, kiongozi wa upinzani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, amefariki dunia akiwa na miaka 84. Saleh Mwanamilongo amezungumza na wakazi wa Kinshasa kusikia wanachosema kuhusu kifo chake.https://p.dw.com/p/2Wpr1Picha: picture-alliance/dpa/T. RogeMatangazoKinshasa na kifo cha Tshisekedi - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio