1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wagombea 26 kuwania urais Kongo

Lilian Mtono9 Agosti 2018

Wagombea 26 wa urais nchini Kongo wameorodheshwa na tume huru ya uchaguzi. Wagombea huru ni 16,na 8 kutoka upinzani. Sikiliza taarifa hii ya Saleh Mwanamilongo

https://p.dw.com/p/32smY