1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahamiaji na kudorora kwa uchumi kuathiri uchaguzi wa Italia

Daniel Gakuba
2 Machi 2018

Raia wa Italia wanapiga kura mwishoni mwa juma katika uchaguzi mkuu. Hasira dhidi ya wahamiaji na kuendlea kudorora kwa uchumi ni mambo makuu yatakayoshawishi wapiga kura. Daniel Gakuba ndiye msimulizi katika makala ya Mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/2tZpD