1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahamiaji wa kiafrika walioko Israel wapinga kurejeshwa nyumbani

Sylvia Mwehozi
7 Februari 2018

Nchini Israel wahamiaji wa Kiafrika wanachagua kufungwa jela badala ya kufukuzwa kutoka nchini humo, kufuatia mpango wa serikali wa kuwarejesha nyumbani wahamiaji walioingia kwa njia haramu. Papo kwa Papo 07.02.2018.

https://p.dw.com/p/2sGZ6