1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wajumbe wa UN watembelea Beni, DRC

14 Novemba 2016

Wawakilishi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, wakiongozwa na balozi wa Angola kwenye baraza hilo, wamekutana na wanasiasa mjini Beni, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kujadili hali ya usalama.

https://p.dw.com/p/2Sf8S
Walinda amani wa Umoja wa Mataifa DRC
Picha: Alain Wandimoyi/AFP/Getty Images

J2 14.11 Beni: Besuch der UN Sicherheitsrat - MP3-Stereo

Ujumbe huo ulikutana kwa mazungumzo na gavana wa mkoa wa Kivu ya Kaskazini pamoja na Meya wa Beni, mkuu wa wilaya ya Beni, kamanda wa jeshi la Serikali katika eneo la mashariki mwa DRC, pamoja na makamanda wa polisi katika mji na wilaya ya Beni. Ujumbe huo ulikutana pia kwa mazungumzo na wajumbe wa mashirika ya kiraia waBeni.