1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakazi wa Kivu na Ituri wakita kambi ikulu Kinshasa

Saleh Mwanamilongo20 Agosti 2019

Wakazi wa majimbo ya kivu na Ituri wamekita kambi nje ya ikulu ya Rais Felix Tshisekedi mjini Kinshasa wakidai kurejeshwa kwa usalama kwenye maeneo yao.

https://p.dw.com/p/3OCdn