JamiiWakazi waamua kupambana wenyewe na COVID-19To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii26.08.202026 Agosti 2020Kutokana na ongezeko la idadi ya maambukizi na vifo vinavyotokana na COVID-19 wananchi nchini Uganda wameamua kuchukua hatua wenyewe kudhibiti ugonjwa huo kwa kuwalazimisha wengine kufuata kanuni zilizowekwa. Video na Emmanuel Lubega. Kurunzihttps://p.dw.com/p/3hYH2Matangazo