1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakimbizi kutoka Ruanda wakimbilia nchini Burundi

10 Aprili 2007

Raia wa Rwanda 900 wamekimbilia Burundi mwishoni mwa wiki wakidai wanazikimbia mahakama za Ghachacha zinazosikiliza kesi za waliohusika kwa njia moja au nyingine na mauaji ya halaiki yalioisibu Rwanda mwaka 1994.

https://p.dw.com/p/CHGd
Wakimbizi nchini Burundi
Wakimbizi nchini BurundiPicha: AP

Balozi wa Rwanda nchini Burundi amehakikisha kwamba hiyo sio hoja inayowafanya watu hao wakimbie. Alisema mahakama za Ghachacha zina nia ya kuleta maelewano na maridhiano katika Rwanda.

Mwandishi wetu Amida Issa kutoka Burundi ana ripoti zaidi.