1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakimbizi wa DRC nchini Uganda

15 Machi 2012

Zamani Kongo (siku hizo Zaire) ilijuilikana zaidi kwa muziki wake wa Lingala uliowainua washabiki kote ulimwenguni, lakini sasa kwa zaidi ya muongo mzima nchi hiyo inajuilikana kwa vita na wakimbizi.

https://p.dw.com/p/14KrU
Wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.Picha: AP

Leyla Ndinda anazungumzia maisha na mateso wanayoyapata wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walioko Uganda. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Wakimbizi wa DRC nchini Uganda
Mtayarishaji/Msimulizi: Leyla Ndinda
Mhariri: Josephat Charo