Serikali ya Kenya imekuwa katika mchakato wa kile inachosema ni kukamilisha shughuli ya kuwahamisha na kuwafidia wakimbizi wa ndani walioathiriwa na ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007. Wakio Mbogho analiangazia hilo katika Makala yetu Leo.