1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Walinda amani 7 wauwawa DRC

16 Novemba 2018

Kundi la waasi limewauwa wanajeshi saba wa kulinda amani wa mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasi ya Congo. Habari hizo zimetangazwa na msemaji wa Umoja wa mataifa mjini New York.

https://p.dw.com/p/38Mhp