1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanajeshi mafisadi wakamatwa Kongo

Daniel Gakuba
24 Juni 2021

Kufuatia kukamatwa kwa maafisa wa jeshi la Jamhuri ya Kongo kwa tuhuma za kudanganya kuhusu idadi ya wanajeshi waliotumwa kupambana na waasi katika mkoa wa Ituri, wananchi wengi wa eneo hilo wamefurahia hatua hiyo. Hata hivyo hakuna uhakika ikiwa kukamatwa kwao kutaleta ufanisi zaidi katika operesheni dhidi ya waasi hao. Mustafa Mwiti, ni mwenyekiti wa mashirika ya Kiraia huko Kivu Kaskazini.

https://p.dw.com/p/3vW4B