Upo msemo maarufu wa Kiswahili kuwa “kufa kufaana” au changamoto kugeuzwa kuwa fursa ukiwa na maana ya kuwa kila penye msiba au maafa au matatizo katika familia au jamii wapo wanaonufaika kwa njia tofauti kama ilivyokuwa baada ya kuzuka kwa janga la Corona duniani.Ungana naye Salma Said kufahamu ni jinsi gani wanawake Zanzibar wanavyotumia fursa zilizojitokeza kipindi hiki.